Hivi ndivyo watu wengi wanavyotapeliwa kwenye biashara ya network marketing
Watu wengi wamepoteza fedha zao kwa kuingia kwenye biashara za network marketing bila kuwa na uelewa na mwisho wa siku kujikuta wametapeliwa na hawana namna ya kurudisha fedha zao kama umeshatapeliwa pole na kama huja bahatika kushawishiwa kuingia kwenye hii biashara kuwa makini